Photo galleries

Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini

 

Siku ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 30/10/2015

Tarehe 30/10/2015, Balozi za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zilizopo Paris Ufaransa ziliadhimisha siku ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo mkazo wake ulikuwa ni kuenzi, kudumisha, kukuza na kutangaza lugha ya Kiswahili. Shughuli hii ilifanyika katika makazi ya Mhe. Begum K. Taj, Balozi wa Tanzania Ufaransa ambaye ni mwenyekiti wa Mabalozi wa nchi za Jumuiya hii.


Wafanyakazi wa Ubalozi wamkaribisha rasmi Bi. Eva Z. Mashala

Tarehe 6/10/2018 Mhe. Begum K. Taj, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi walimkaribisha rasmi Bi. Eva Z. Mashala ambaye alijiunga rasmi na Ubalozi huu tarehe 21 Septemba, 2015.

 

Uzinduzi wa majengo ya Ubalozi Paris, Ufaransa

 


Political and economic images of Tanzania

 


Touristic sites in Tanzania

 

Top10 Destinations

 

Dar es Salaam facsinations


Tanzanians living in France at the embassy