Article Index

Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini

 

 

Tanzania National Parks

 

Siku ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 30/10/2015

Tarehe 30/10/2015, Balozi za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zilizopo Paris Ufaransa ziliadhimisha siku ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo mkazo wake ulikuwa ni kuenzi, kudumisha, kukuza na kutangaza lugha ya Kiswahili. Shughuli hii ilifanyika katika makazi ya Mhe. Begum K. Taj, Balozi wa Tanzania Ufaransa ambaye ni mwenyekiti wa Mabalozi wa nchi za Jumuiya hii.